Homa

Ngimanene hajaambiwa poa
1639664005290.png
 
Mimi bro alikuwa na hako kahoma nikapitia nikimgotea kumbe nilijikaanga mwenyewe last week nimepigwa na hako kahoma, experienced mild sore throat, headache kidogo dogo and general body weakness, running nose pia. Nimekuwa kijifunika from head to toe to keep myselefu warm
 
Sio yote homa tho. Had the same symptoms minus the headache. Went to test just to be sure nisipelekee wazazi corona next week. Test came back positive for covid. Lethargy ndio mingi
 
Back
Top