Wadau hii ni homa gani naskia iko Nairobi.
What Are the symptoms.
AcHa nIbaki Katanga province.
Was Planning kuland huko for Chrisi lakini acha tu.
This is a pandemic Scumbag kagwe na side kick yake @Ngimanene na Muchere hawasemiNa hawa majamaa wa nairobi wanaland mombatha kuanzia next week.
Hio home was spread pale solfest...but its ok since inaongeza immunity
My friend ako na hio sore throat, akimeza chakula lazima asimame ndio iteremke
Mtu kama Mimi nanywa maji ya 3 different counties, every two weeks, hiyo homa haiwezi nipata, watu wa maji za chupa ndio munaumia.
Kivipi?Hapana mkubwa
Kivipi?
Explain to me like a grade 1 kid, how that happens.Mtu kama Mimi nanywa maji ya 3 different counties, every two weeks, hiyo homa haiwezi nipata, watu wa maji za chupa ndio munaumia.
Quick recovery manSio yote homa tho. Had the same symptoms minus the headache. Went to test just to be sure nisipelekee wazazi corona next week. Test came back positive for covid. Lethargy ndio mingi
I work in county A where I stay for two weeks, and get a 4 day off, I have a farm in county B, where I spend the first day, my wife is posted to a county near Nairobi where my family is domiciled, I drink water in all those counties.Explain to me like a grade 1 kid, how that happens.
Iza Kiongozi, get well soon.Sio yote homa tho. Had the same symptoms minus the headache. Went to test just to be sure nisipelekee wazazi corona next week. Test came back positive for covid. Lethargy ndio mingi
Ai kwani niko Nairobi gani, mimi sina na aijawahi vaa face nappy