Homa si ya kawaida .

Wadau anyone amepatwa na homa si ya kawaida .Ilianza kama sore throat (on Sunday) kwa umbali but by Monday nilikuwa nimeisha nguvu .A dry cough , pain kwa joint and baridi haileweki . Tuesday nipitia kwa Doktari and suprisingly alinimbia wengi wanaexperience same issue. Nilipewa Azithromycin , dry cough syrup and some dispersable Zinc tablets . Even a workaholic neighbour amekuwa home since Saturday .Anyone experienced this ?
Pole
 
Experiencing the same ! Sijatoka nje since visiting dacktari jana
 
Ugua pole, Brother.
Umetoka wapi
IMG-20210325-WA0033.jpg
 
Back
Top