Fantasy Kid
New Lister
*Life in highschool part 4
*
_Na pia nguo za ndani muangalie.. these students ni wakora saana_ yule mwalimu mwenye umama akasema..
Saa ndo nikashangazwa na huyu mwanaume... Halafu ujue mdomo wangu hukosangi cha kusema.. that's why am enemy of the people... *Na wenye hu wetdream* Muriiera akaangusha Ile bag yangu iliyokuwa na *CD
* ... Hapo nikatoboa. . Ikabaki ile ngori ya kale kakitabu...
Mwalimu acha nkusaidie.. *utashika vitu chafu huku*
Waah, akakataa.. akajua ameninasa. Ghafla mende akatokea... *KATISO kuja uone*.. tena akanichomea *bet*
Na vile nlikuwa nimedunga tai _joh_
..
Kijana na vile uko neat uko sure hii box ni yako... Sasa hata viota walikuwa wanacheka... Wanajuanga vizurii kuwa box hufunguliwa on Saturday morning
... Katiso akiongea na mimi obviously macho Ilikuwa kwa
.. kumbe kako
.. acha nisiseme... Kila kitu kalisema nilikuwa naitikia
ni vile hakakuulizia stori za miti
Though kameiva sura na kamebeba though si saana kalikuwa na ulemavu pahali... Wacha nisikaanike vile