Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Hii kitu, we the brave have been telling you from day 1, Kagwe ni vipindiree tu and public sanitizing for those eating, uliona mpaka CEO wa KEPSA alisema Kagwe aliongoza hio kirindi?
Will the fearful

Hii kitu ilichezwa hivi na Kagwe, alianza kupeana number za kutisha ili donor watoe pesa zaidi, ile wakati brave Kenyans walianza questioning them, akatokelezea na PR stunts zake but ile wakati NTV walitoa investigeshen akaona kamenuka donors wanazusha akaanza kusema cartels na akacheza chini and low and behold the numbers came down astronomicalmy mpaka wanataka kufungua economy baada ya kuona hakuna kitu ingine ya kuiba kwa corona
Last edited: