Hawa pilots that fly the cargo airplanes, nani huwa anawaserve chakula na chai when on a trip? Mnakuwanga na air hostess?
Hawa pilots that fly the cargo airplanes, nani huwa anawaserve chakula na chai when on a trip? Mnakuwanga na air hostess?
Jibu swali QuadyWewe.
Jibu swali Quady
Wacha tungoje mtu anajuaNiaje mkubwa?
Hiyo swali ni ngumu kujibu.
Wewe unaonaje?
Wacha tungoje mtu anajua
So they carry their own food? I had actually never thought of thatLakini si they can do packed food?
So they carry their own food? I had actually never thought of that
Najua dere wa train wanakuwanga na ka kitchen hapo, labda its the same, ukiskia njaa unagonga mayai mbili hapo nyumaHawa pilots that fly the cargo airplanes, nani huwa anawaserve chakula na chai when on a trip? Mnakuwanga na air hostess?
So they have their food already packed from where they are departing? And then they serve themselves ama?Not one serves them lakini they get their provisions from the departure airport. Say wakibeba maflowers kutoka JKIA to Amsterdam, the same way passenger airlines get their food kutoka NAS, same way wanakuanga na zao, hata kama uko kwa jump seat utahesabiwa, hutakufa njaa.
Najua dere wa train wanakuwanga na ka kitchen hapo, labda its the same, ukiskia njaa unagonga mayai mbili hapo nyuma
Najua dere wa train wanakuwanga na ka kitchen hapo, labda its the same, ukiskia njaa unagonga mayai mbili hapo nyuma
Hii nayo unabeba kwa kwa mfuko ukiingia worksNa kama hakuna mayai?