Face Mwaks!

Nameless

Elder Lister
Aki hawa watoto wa siku hizi...anyway, ata sisi turiiba mtihani enzi zetu.
1602955929736.png
 
hapa inakuanga tu ni u hope wakianza kazi wata learn na wakue poa.
but vile watu wanateta kuhusu work force-nurses, doctors,engineers, secretaries......, inaonekana wanaiba, wanapita alafu uko nje hawajui kitu yeyote. ni guess work tu.

kuna pahali watu walkua wana discuss wakisema hawawezi hudumiwa na mtu yeyote mdog. hawajui kitu na watahatarish amaisha yako. sanasana kwa medical field
 
Back
Top