Yani ii Govt imeamua kuweka payment system the analogue way, hapa si ni bottlenecks watakuwa wanacreate kwa izo Toll Booths. Nipange line kwa Supermarket tena nipange ingine kwa barabara. Sasa ukifika hapo uambiwe hakuna change utazima gari utafutiwe change...

Poleni nilianguka kwa mtegoUmekaa hivi, ukakosa kitu ya kufanya ukaone utuletee muhahe na panganga za keyboard warriors? Nishtaki