Driver who rammed FH into Msedes causing death of Traffic cop yesterday arrested

This guy is a hero. Why is he being prosecuted?

We all know the police force and the courts are indubitably and thoroughly corrupt, this is the only way to get justice.
 
Ni Friday niko pale Hardy's Southern Comfort bar then in the day. Initially nilikua Nimeambia bro in_law anirushie ujanja ya friday kumekauka hakuna any anipee squad moja ya tao na kurudi angalau form iingiane.

Pesa imeingia nimesahau mambo ya shopping ya kejani afu Kiu ya pombe na **** imenifuata mbio.
Nime mulika kamdem flan ka daro ya kina @Elgin lazima nikaspoil na tu kingfisher kadhaa ni marinate yeye nimtombe sasawa.

Sambili hivi nime register. Chupa zimekam hakuna luxury ya nyama but Nimeitishia dem samosa mbili tatu hivi...
Ka karau flani nilipata kwa njia katika harakati zangu za ku tout kametokea hivi nimekua gentroman nimemrushia Kane Extra quota ameirusha kwa jug ya keg!

Sherehe inendelea hadi late night kamsee kameanza kuiva na kumisbehave kushika shika Nyar Siaya Mapaja kunidharau.

Tukashift tukaenda counter. Akatufuata uko bado kutsumbua sumbua. Me nikambia hao ma waiter wamtoe karibu na sisi ama tusilipe bill tujitoe... ati hoo uyu ni mkubwa.... hoo hatuwes.... hoo hamtoki....

Nikambia uyo charlie ntamgonga ajikunie na statambua yeye ni nani! >>>Makosa! Akadai shuka Uniguze umbwa ii! Ghasia nainunulia pombe inanikoseshea heshima??

Niliruka kutoka juu ya sina taabu stool ka nimeland na timberland ju ya tumbo ya msee. Teke ilifuata ya mbavu kila msee ni mguu niponye! Wengine nikushika mimi na maulevi zangu.

Niliamka around 3AM kama macho moja imefungana shati iko stained na damu everywhere ndio pillow 😹 😹

Na hivo ndivo nilikaribishwa Nairobi na mbogi yake. Sikutembea io wiki ju skua na miguu.
Hehe, pole ndugu, hata mimi nishailala hapo hardy, but nikusafi sana, kweli?
 
Small world, I also used to go there some time back. Lakini uko na bahati ulienda Hardy na cell ilikuwa empty. My first time in jail in Nairobi was a baptism by fire, nilifungwa Kabete police station on a busy Friday night nikatoka Monday asubuhi after parting with 5k. Cell ilikuwa imejaa gangsters wa Kinoo na Kangemi, yaani wasee wanaletwa na makarao wanaanza kugoteana na kupiga story like it's just another day in the office. Longest weekend of my life.
 
Wasapere wezi wa huko wameunda network noma wanajua nani hajaibiwa
 
Back
Top