Hii serikali ni yenu, tumetoa order wananchi wapewe nafasi walime msitu ndio tuongeze chakula… - DP Rigathi Gachagua
William Ruto tumemuachia kazi ya uchumi, kazi ya kutafuta pesa, tumemuachia kazi ya kuenda ng’ambo na kutafuta wawekezaji walete pesa Kenya. Hii kazi ndogo ndogo ya wizi ya ng’ombe hiyo ni kazi ya Rigathi Gachagua… - DP Rigathi Gachagua