Habari ya wadau, jana imekuwa siku ya mashida mashida. Siku ilianza na sever chest cavity pain lkn iliisha yenye baada ya kupumua pumua in and out. Wasp nayo ikaamua kuacha alama kwa kichwa, siku ikiendelea arm joints naskia some form of pain which still persists upto now. TIA
Kesho lasma nipitie DoktariGo see a doctor especially because uko senator. A battery of tests can help identify potentially fatal health problems. It's money well spent.
Papa Shirandula alisema hivohivo tu. See where it got him. Shauri yako Rona hapei mtu muda kwanza mtu kama wewe obese.Kesho lasma nipitie Doktari
Papa Shirandula alisema hivohivo tu. See where it got him. Shauri yako Rona hapei mtu muda kwanza mtu kama wewe obese.
This is a grave matter (NO pun at all).Wacha kuungilia senator. Say he has a high BMI.