Doctori Man Gidi arrives in Malawi to represent KENYATTA.....

1. Hakuna kulipa ushuru zisizoeleweka ili mchina arudishiwe pesa zake.

2. Watoto wangu wanaweza fanya biashara kwa njia huru bila mabwenyenye kueneza ukora.

3. Ninaweza uza maziwa kwa mtu yeyote bila kunyanyaswa na kampuni fulani kupitia sheria.

4. Mashamba yaliyonyakuliwa na hao mabwenyenye yarudishiwe watu wanaofaa kupewa.

5. Hakuna kutumia sheria dhidi ya maslahi ya mwananchi ili kueneza biashara zao.
Una hakika? Your man has been in govt in the past 8 years
 
Back
Top