Watu wa Demio it seems it's high time mkubali kuwa ropped into the same group as the Fielders, Premio, Vitz if the Mazda group postings and comments are any thing to go by. Watu wa park magari ndani ya apartments ama gari ilale kwa a secure parking area
Kuna jamaa nimepata hapa duruma road, amelemewa kupandisha wish manual drive Kwa mlima, gari inarudi nyuma juu hajui hill start nikaona labda ni mwizi wa gari ama ni kadynasty.
Back to the topic at hand, achunguze the seller, kuna wale wako na side hustle ya recovering the vehicle sold.