bigDog
Elder Lister
Sisi na nani? Mimi ni hiyo utoto mko nayo inanishangaza but then again mkenya ni mkenya....too early for KK supporters to have buyer's remorse. Serikali sio nyumba yako where you re-organize your people in 2mins....but the agenda must agend...ama namna gani?
Keep up the mockery
Lighten up boss. Weka siasa kwa roho ndiyo upate pressure. Cenji
