nilikuwa na kadem from those sides.. we schooled pamoja.. siku moja she fell ill, Saturday after classes mimi na her best friend tukaamua kwenda kumuona nyumbani..
her dad.. 2m tall kisii monster.. kuniona.. akadai nimewekela mtoto yake mimba.. wuehh.. ile. mbio nilitoka huko...