Luther12
Elder Lister
Watu wapende kufanya shopping moja kubwa to last 2 weeks, hii mambo ya kuitishwa pesa kila asubuhi/jioni huongeza friction kwa nyumba hata kama spending ni legit.
Kwanza kwa wholesale outlets.
Then mwanaume ana record 80 bob na 90 bob ako karibu kunyonga mtu
Experience, is that you?