COVID VACCINE

Mayoyo

New Lister
My friends kwani mnadhani wazungu wanawapenda namna gani, hivi wanataka kuokoa dunia nzima na chanjo hii ya covid? Si ni Hao tu walikoloni mababu zetu, wakatuibia madini na wakafanya babu zetu watumwa na maneno mengine yasiyoweza tajika hapa.. Si ni mkeo Bill Gates alisema hivi juzi eti anaona miili ya waafrika yakiwa yametapakaa kila mahali, lakini hadi sasa ni wangapi wamekufa na covid hii? Ni wenzako wangapi wa karibu ambao wameaga? Wewe mwenyewe umepata ugonjwa huu kweli? Amkeni na muone hii yote ni depopulation agenda, ambayo bill gates mwenyewe alisema kuwa watacontrol population ya dunia na chanjo.
Amkeni ndugu na dada wenza
 
IMG_20201006_064623.jpg
 
Back
Top