Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Kwa nini transformers zinakuwanga na aerial kama ya tv?Imagine siku tatu,na si Stima ya soo tano kila siku,kuweld madirisha na milango ya 2bedroom haiwezi pita mia tano
Kwa nini transformers zinakuwanga na aerial kama ya tv?Imagine siku tatu,na si Stima ya soo tano kila siku,kuweld madirisha na milango ya 2bedroom haiwezi pita mia tano
Ndio zivute aerialKwa nini transformers zinakuwanga na aerial kama ya tv?
Wagondi wa aerial si watazibeba? Ama Kenya Power are now transferring power wirelessly?Ndio zivute aerial
If KPLC management is sooo genuine on outsourcing , they should instead spend the cash on digitizing the remaining 30% by installation of prepaid meters and better still cancel brokerage contracts then purchase power directly.nchi ya majambazi, waliona mashimo zitajulikana
Very archaic mindset. I know homesteads with very few residents and gadgets.Kama sio token wangekuwa wamekushika, post paid huwa wanangalia nyumba na zile electric gadgets wanafikiria ziko huko