Ni lini wanasoma?Ngoja kwanza tusomewe fuel prices tuone kama petrol itafika 80 bob.
How I wish uhuru could replace them with other leaders. Sasa unatoa murkomen unaweka pogisio, unato keter unaweka issac ruto? Meen huyu uhunye sometimes smh
Orders from mum....Status quo must be maintained, the elite must make money whether it floods or shines, Wanjohi only cares for his family, friends and business partners
Ni lini wanasoma?
Hehehe. Sifanyi mistake ya last time. Unaona ikishuka zaidi?14th
Hehehe. Sifanyi mistake ya last time. Unaona ikishuka zaidi?
Prepare for anything. Not just KenolKobil in this situation.can they try to raise it in such a climate? either i maintain ama ishuke kiasi hopefully
At least this should be the argument, politics and policies that will affect us positively lakini si kupigana na nguruwe bureCS Keter akienda bei ya stima nashuka.
Alafu watu wafunguliwe nairobi....can they try to raise it in such a climate? either i maintain ama ishuke kiasi hopefully
ndio wapeleke virusi vijijini?Alafu watu wafunguliwe nairobi....
Life must continue my fren, the longer you lock it up the more they will travel when its opened.ndio wapeleke virusi vijijini?
is this the best THS taught you?Life must continue my fren, the longer you lock it up the more they will travel when its opened.
The virus is here ti stay whether you like it or not. It is not going anywhereis this the best THS taught you?
ulitoka THS mwaka ganiThe virus is here ti stay whether you like it or not. It is not going anywhere
Kwani wewe ni stalker? Hii story ulitoa wapi?ulitoka THS mwaka gani
hehehe tulia.. sasa nikufuate ndio nipate nini.? toilet paper? nilifunza hiyo shule... na kunasiku kwa ile kijiji nzee ulisema school motto yenu ilikuwa abundant lifeKwani wewe ni stalker? Hii story ulitoa wapi?
Haha hii ni mambo ya inbox banae. Nilikuwa participant huko last year btw kwa ile storyhehehe tulia.. sasa nikufuate ndio nipate nini.? toilet paper? nilifunza hiyo shule... na kunasiku kwa ile kijiji nzee ulisema school motto yenu ilikuwa abundant life
hii cheki maneno ndio ilifanya nishuku nakujuaHaha hii ni mambo ya inbox banae. Nilikuwa participant huko last year btw kwa ile story
I never share that outside this forum...are you sure?hii cheki maneno ndio ilifanya nishuku nakujua