Chips Funga

Comments:
1. Energy, unatumia stima, kuni au makaa kupika chipo?
2. Unatoa waru wapi?
3. weka extras, chicken, smokies, sausages, samosas, kebab, mayai, chapo, maini, shingo, mandazi - hapa ndio pesa iko,
4. Dilute hio tomato sauce like shit
5. Tumia mafuta solid, salad itakupeleka hasara,
6. Weka chipo food color ndio zikae smart kwa display
7. Tengeneza samosa na leftovers
Thank me later
 
my two bit, get flyer ya stima,
download.jpg

bei from 5-10k depending on capacity.
folks love viazi imechomwa na stima
 
Comments:
1. Energy, unatumia stima, kuni au makaa kupika chipo?
2. Unatoa waru wapi?
3. weka extras, chicken, smokies, sausages, samosas, kebab, mayai, chapo, maini, shingo, mandazi - hapa ndio pesa iko,
4. Dilute hio tomato sauce like shit
5. Tumia mafuta solid, salad itakupeleka hasara,
6. Weka chipo food color ndio zikae smart kwa display
7. Tengeneza samosa na leftovers
Thank me later
1.Stima na kuni
2.Ol kalou
3.chicken,sausage,smokies,kebab
4.Will make my own,nyanya ni mob
 
Who are your target market?

This is a numbers game. The profit margin may be thin, so you need a lot of traffic to be able to make a tangible profit.

Also pale kwa finance, weka someone you trust ama employees will enrich themselves at your expense.
 
Back
Top