upepo
Elder Lister
Iko pale next to Kenyatta University. They have a wide variety of merchandise at reasonable prices. Ukitaka kutembea Nairobi and you are not sure what to carry back home, drop there for the widest choice anywhere. Hakuna kuchomeka na jua tena kamukunji ukitafuta vikombe za kaulo. Lakini apana jaribu kupeleka mwanamke uko. Utaumia saidi.