You just have to ride often enough hadi ukuwe hardcore....ukikaa sana ndio rasa inakuwa soft...otherwise it takes an average of three rides kuzoeaNikuulize huwa unafanya nini ndio rasa (mukurukuthu) isiume after a long bumpy ride.Nimenunua zile kits ziko na sponge,kiti iko na sponge lakini bado naumia yayeeh.Saidia tafadhali