Charcoal

Makavelli

Lister
Katika pilka pilka zangu zakutanga tanga, @Ngimanene na Muchere leo nimeamua kujoin the brave battalion nimefika Sultan. Ii baridi hapana leta bidii nafikiria kununua gunia ya maka bei napatiwa ni 1800/= is it worth it ama nichukue ya Nyarofi...
IMG20200812110918.jpg

IMG20200812112036.jpg

IMG20200812112028.jpg
 
By the way ni mimi tu ama these road side sellers hugonga travellers sana. Kuna time was coming from Nakuru with a femeo in tow tukasimama soko mjinga, kama kawaida ma carrot na kila kitu thrust in our faces through the window. She bought kadhaa kufika home realized it would have been cheaper kununua tu kwa mama mboga around. hii obsession ya kufika nyumbani na vitunguu, viazi na kadhalika kwa boot inatugonga
 
hao hugonga, kuna time nilikuwa na tu trips twa eldi, nikirudi nikanunua peas coz. I knew my mum loves them, akaniuliza nimepata na how much? Akacheka na kuniambia ningenunua those that are already shelled in Nakuru zingekuwa cheaper
 
Ngunia ya makaa pande za Kiritiri na Mbeere ni 800 - 900 Bob.
Nilisimamanga pale Mwea na kiherehere kununulia mama watoto pishori sa sijui vile kulienda juu nilipewa ninuse lakini nilipopimwa nyumbani na kipatiana nikaambiwa hii ni mchele ya upuss infact ikipikwa inakaa ugali. I later learned that ukitaka kununua vitu kwa roadside weka gari mbali sana juu they sell expensively to those with cars.
 
They sprinkle some well dried pishori over some Pakistan, Thai, Vietnamese inferior quality rices. Be checking the bags the rice is in as some are even too lazy to change the gunias.
 
Ngunia ya makaa pande za Kiritiri na Mbeere ni 800 - 900 Bob.
Nilisimamanga pale Mwea na kiherehere kununulia mama watoto pishori sa sijui vile kulienda juu nilipewa ninuse lakini nilipopimwa nyumbani na kipatiana nikaambiwa hii ni mchele ya upuss infact ikipikwa inakaa ugali. I later learned that ukitaka kununua vitu kwa roadside weka gari mbali sana juu they sell expensively to those with cars.

hehe hapo basi wao hugonga watu wa Nairobi sana...
 
Back
Top