Jug Elder Lister Feb 22, 2021 #1 Ii mvua imeamua kunyesha paka na mbwa, tangu jana saa moja usiku na kuchukua half time breather kabla tena imwagike. Mark register ii mvua inakupata wapi? Mimi niko hapa Maa Land na saa ii bado kunanyesha
Ii mvua imeamua kunyesha paka na mbwa, tangu jana saa moja usiku na kuchukua half time breather kabla tena imwagike. Mark register ii mvua inakupata wapi? Mimi niko hapa Maa Land na saa ii bado kunanyesha
T The.Black.Templar Elder Lister Staff member Feb 22, 2021 #3 ungeweka atleast picha ya mvua ya paka na mbwa