Breaking News

Happy new year Meria. Mimi niko sawa tu, January venye itakuja mimi nko a step ahead, mtoto shule, watu wangu wameshiba.. nayo nayo. Am thinking of buying some chrome rims for my ride but najiuliza ni za nini? Na zenye ziko iko sawa tu...aint these birrioneas problems ama?
 
Back
Top