It's Me Scumbag
Elder Lister
Me I thought ni ile bone iko kwa bolingo. Kumbe I was wrong...Eyebrows.
Maffwi.
Me I thought ni ile bone iko kwa bolingo. Kumbe I was wrong...Eyebrows.
Maffwi.
hii inahitaji hekaya on its own, nakumbuka hizo beta, shida ilikua brakes, hio kitu ikishika speed you were at the mercy of gravityMy experience ni off topic kiasi. We used to make 'beta' (a mbao car with old bearings from the garage as wheels ) back in the days. Nyuma naweka mbili alafu moja pale mbele style ya ile roller ya gym, nachapilia msumari side moja to act as the fulcrum alaf nadu steering na miguu. @Meria and @It's Me Scumbag ama @Kabuda mnaeza elewa hio maneno.
So one day nko na my 'Ungwaro express' nimeipandisha ka mlima hapo tu mtaani ndo nteremke adi huko down, kidogo mujamaa wa pikipiki ametoka chini anapanda kwa spidi ya hali ya juu nkajua atapita na mimi. Huyo mi kumhepa na sina breaks nlienda ka nmepita na mandazi za wenyewe kando ya roady adi kwa mtaro. Alaf by bad luck ikapata Mrs. Njoro akiwa apo karibu kwa kashop. Nlishikanishwa vita ingine haijuani na hizo mbao za beta ndo zilipika githeri hio siku.
Beta tuliendesha pia and I have a big dent on my knee that I always show my sons wakijifanya wajuaji.My experience ni off topic kiasi. We used to make 'beta' (a mbao car with old bearings from the garage as wheels ) back in the days. Nyuma naweka mbili alafu moja pale mbele style ya ile roller ya gym, nachapilia msumari side moja to act as the fulcrum alaf nadu steering na miguu. @Meria and @It's Me Scumbag ama @Kabuda mnaeza elewa hio maneno.
So one day nko na my 'Ungwaro express' nimeipandisha ka mlima hapo tu mtaani ndo nteremke adi huko down, kidogo mujamaa wa pikipiki ametoka chini anapanda kwa spidi ya hali ya juu nkajua atapita na mimi. Huyo mi kumhepa na sina breaks nlienda ka nmepita na mandazi za wenyewe kando ya roady adi kwa mtaro. Alaf by bad luck ikapata Mrs. Njoro akiwa apo karibu kwa kashop. Nlishikanishwa vita ingine haijuani na hizo mbao za beta ndo zilipika githeri hio siku.
My experience ni off topic kiasi. We used to make 'beta' (a mbao car with old bearings from the garage as wheels ) back in the days. Nyuma naweka mbili alafu moja pale mbele style ya ile roller ya gym, nachapilia msumari side moja to act as the fulcrum alaf nadu steering na miguu. @Meria and @It's Me Scumbag ama @Kabuda mnaeza elewa hio maneno.
So one day nko na my 'Ungwaro express' nimeipandisha ka mlima hapo tu mtaani ndo nteremke adi huko down, kidogo mujamaa wa pikipiki ametoka chini anapanda kwa spidi ya hali ya juu nkajua atapita na mimi. Huyo mi kumhepa na sina breaks nlienda ka nmepita na mandazi za wenyewe kando ya roady adi kwa mtaro. Alaf by bad luck ikapata Mrs. Njoro akiwa apo karibu kwa kashop. Nlishikanishwa vita ingine haijuani na hizo mbao za beta ndo zilipika githeri hio siku.
Kwa hivo haujatahiri nugu hii?Sina ata ka scar naweza onyesha bana.
Ng'ombe ni ng'ombe tu ata ikiwa mzee.Kwa hivo haujatahiri nugu hii?
WololoIn my primary school a dude was tricked the same way and ended up breaking his toe... bone protruded out of his long toe. I guess hiyo ndio ubaya wa ondole.
And Meria you sound like the old timers who claim they climbed cliffs, wrestled gorrillas and crossed lava lakes every morning on their way to school. I'd like to see you record yourself kicking a ball of cement high into the air.
Wewe kweli can you really call yourself a man if your earlier years were spent as a girl? Scars are part of being a boyBoys can do some real mean stuff to each other.
But no, I grew up without much drama or engaging in risky adventures.
I was a poster boy for innocence, good behavior and way mature beyond my age.
My brothers and other boy relatives were constantly being reminded why they couldn't be like me.