Najua ustadh kama mimi nafaa kuwa naongea kuhusu mambo kubwa kubwa kama msito Trump ama Lebron James lakini jaber ameenda soko leo akaniambia bei ya ndimu imepanda kupindukia. Ndimu MOJA sahii ni 40bob!!!!!!...Na ginger!!!! Ata usiongee...
Billionaires waliambiwa hiyo ndio dawa ya covid wakamalisa sisi hustlers.
Billionaires waliambiwa hiyo ndio dawa ya covid wakamalisa sisi hustlers.