Biashara ya dawa ya mende

Kali. No wonder wanamkataa. Na barua ya health alipataje?
Akishaweka hii sura ya hornier than thou... muteremuko.
Motokubwa - Copy - Copy.jpg
 
Inakaa hii biashara ya kuuza dawa ya mende sio mbaya. There's a company advertising during prime time 9pm news on Citizen TV about dawa za mende, competing airtime with corporate titans like KCB and Safaricom who also advertise during that time.

Kama mtu anaweza afford kuadvertise at 9pm inakaa profits ziko juu

Otherwise hope mko sawa. Umeoga leo? Longest nimekaa bila kuoga was 3 days pale highschool PO Box 7 Kikuyu. In July temparature zilikuwa zinafika hadi 13° sahiyo umevaa short!!! Kazi ilikuwa kupiga passport kuosha makwapa na sehemu nyeti and life moves on.

View attachment 21614
Mimi nilikua naoga shingo kola isipate uchafu😂😂😂😂😂
 
Back
Top