Believe it or not: 30/03/2020

Meria

Elder Lister
Jamaa amekataa kupelekwa Nyumbani (Kakamega) pale Thika road. Hearse imepiga u-turn almost Causing an Accident
82eaeb65-40d4-4639-8d31-e5a810b5038d.jpg
 
Really,how can the dead make the car not move???kwani anajua aje mpango za place atakwa??wacheni kutupima wazimu....


there are so many . In nigeria its even worse
 
Huyo jamaa wa hearse on his way back kawaida atapewa kuku aambiwe arushe kwa njia. Woe unto him akiamua kukuja nayo hadi Nairobi kuichinja
 
This is true, my friend who was a hearse driver used to narrate to us such happenings. Ati "bro jana nilikua napeleka mwili flani western kufika so and so gari ikasimama kwa rodi ikazima yenyewe" na saa hio imetoka service. Wanatoa mwili, mshosho anashuka nayo anabonga na maiti for some time then gari inawaka tena.
 
Back
Top