Mongrel
Elder Lister
Kuwa Shylock si kitu rahisi, saa hii niko na various items like TVs,fridges,microwaves etc,zile wenyewe waliacha as collateral for a soft loan, hizo loans zimepitisha due date lakini uzuri kulikuwa na written agreement, nauliza hao watu wanaweza kuwa na njia ya suing me ama waniroge?