bana nimekimbia

SledgeHammer

Senior Lister
there is this bushy road nyuma ya umash funeral home. wenye wanajua barnabus.
si nimekutana na species ingine inakaa dogi but with a very fat tail with furs, it was pacing in circles..
sa mimi niko tu ku chuck mdagi mdagi sa sijui kuliendaje ghasia ikaniface na kuanza kunikujia...
I didn't budge at first lakini thought ikanikujia hapa niko nyuma ya funeral home... wueeh...

I had an adrenaline rush I tell ya, nimeruka fence na kutoka hii route adjacent na umash and crossed the road speed ya lightwave.. yeah past hizo ngombe wamaasai huchunga kwa hio field..
looking back sijaona any, nimecover 500 metres na siskii kuchoka.. shait, nimechoma picha lakini mans, siwes ona kifo na macho
 
Hiyo area na njia ya kwenda mutaita inakuwanga na wanyama wengi sana.
 
there is this bushy road nyuma ya umash funeral home. wenye wanajua barnabus.
si nimekutana na species ingine inakaa dogi but with a very fat tail with furs, it was pacing in circles..
sa mimi niko tu ku chuck mdagi mdagi sa sijui kuliendaje ghasia ikaniface na kuanza kunikujia...
I didn't budge at first lakini thought ikanikujia hapa niko nyuma ya funeral home... wueeh...

I had an adrenaline rush I tell ya, nimeruka fence na kutoka hii route adjacent na umash and crossed the road speed ya lightwave.. yeah past hizo ngombe wamaasai huchunga kwa hio field..
looking back sijaona any, nimecover 500 metres na siskii kuchoka.. shait, nimechoma picha lakini mans, siwes ona kifo na macho
Kuja muone mwanaume hujispank akinyonga monkey 😹
 
Back
Top