Sasa unaona benefits za kipara...umesave pesa mingi sana kwa kutolipa hiyo fareUsed to do this. Natoka Eastlands naenda Kangemi kwa kinyozi...
Boss,I STILL got a head full of hair. Kipara sionani nayo in the next thirty years...Sasa unaona benefits za kipara...umesave pesa mingi sana kwa kutolipa hiyo fare
Had the same predicament this year February. Jamaa aliniweka Mohawk kama crown ya jogoo badala ya fade.In kuchapa tu Jordan uanze vizuri nywele ikuwe uniform.
hahaha meno basi ndio imekukataa.. you can't have bothBoss,I STILL got a head full of hair. Kipara sionani nayo in the next thirty years...
Hunitakii mazuri nanii...I got 30. I am good to go...hahaha meno basi ndio imekukataa.. you can't have both
nivile nimefika age flani.. nywele bado iko lakini meno inanikataa... lazima nitafute companyHunitakii mazuri nanii...I got 30. I am good to go...
watu wakona kipara hamuezi jua
Skull elongation. Read how it was done and you will be shocked
Makonika ni Rastaman but...Rasta men don't shave
And what exactly was the point?? Ama ndio msee akuwe na akili nyingiSkull elongation. Read how it was done and you will be shocked
Beauty paposesAnd what exactly was the point?? Ama ndio msee akuwe na akili nyingi![]()