Doc oga
Elder Lister
Punguza ukristo Brathe, these people do things without thinking of the peasants. We are like wild animals that sleep in their kraals ati wakitaka maziwa wanatukamua, nyama wanatuchinja yet hata dawa za minyoo hawatupatii, chakula tunajitafutia tukiwindana na mbwa mwitu(polisi na kanjo) lakini jioni wametungoja kwa hamu na gamu(KRA).Never wish bad things to other ,whatever evils, they have done is for them and their families to answer !