Ndungu anapayuka nikama hakuwa CS kwa Serkal ya Lies...kwani vitu ni mbaya namna gani ukiwa ndani uwezi implement ideas zako na ukikanyaga nje akili inakuwa timamu same case to Kuria saa ii anatoa advice after advice ya venye vitu ni mbaya na akiwa kwa meza kila kitu ilikuwa tu sawa
At least ya Ndung'u is understandable. We know that twice he offered to resign. In both instances the appointing authority asked him to hold on "he looks for someone suitable".