Ati Walevi Ndio Wameshikilia Nchi

Na mapokoste, watu wa mchele, hijackers, hawkers wa club, ule jamaa wa kuosha choo mwenye hudai mbao ukikojoa, dj's, cow girls, strippers
add more
 
Waitresses are out there without work. Sponsors mko na jukumu la kuwashughulikia wasilale njaa..🙂


Yesterday was in some shopping center and walevi walikua wamefungiwa ndani ya pub. The pub owner was outside monitoring the situation. So bado kuna vichwa ngumu. Lakini Leo hawatapenya.. ama wakifungia watashikwa
 
Last edited:
Back
Top