The times we had Nakumatt mega, niliacha gari ya job parking, kurudi napata Marabou zimechapa collabo na kuharia cruiser, inanuka meffi, kurudi nayo job, from the gate watchie alikuwa ameshikilia mapua... Mdosi aliniambia tu roho safi niimwagilie maji haraka sana. Otherwise paintworks ingegeuka zebra.