AoB 15th Dicemba 20201

Cortedivoire

Elder Lister
Staff member
Mzeiya na bibi
FB_IMG_16394008815616437.jpg
 
Ilibidi jua kali watengeneze wire mesh sababu ya vile hizi glass zilikuwa zinavunjika

Hehe this was a hobby twice a week.

By 6pm ndio unaanza procedure.

Carefully remove it unaweka maji ya omo, unaiosha na soft cloth, rinse it..... Weka mbali ikauke. Sort out the chimney with a soft brush... Then trim the wick.

Panguza taa vizuri, let it dry... Angalia kama fuel iko proper......

By seven unganisha kila kitu.....

By the time unaasha hiyo Dietz, itawaka kama bulb.

:)
 
Last edited:
Hehe this a hobby twice a week.

By 6pm ndio unaanza procedure.

Carefully remove it unaweka maji ya omo, unaiosha na soft cloth, rinse it..... Weka mbali ikauke. Sort out the chimney with a soft brush... Then trim the wick.

Panguza taa vizuri, let it dry... Angalia kama fuel iko proper......

By seven unganisha kila kitu.....

By the time unaasha hiyo Dietz, itawaka kama bulb.

:)
Kwani tissue paper iko na kazi ya choo pekee?
1639570310803.png

Hiyo kazi ni ya 30 seconds max
 
Back
Top