Mongrel
Elder Lister
Ulisema unaweza hitaji nini?Hustle hard man...
Ulisema unaweza hitaji nini?Hustle hard man...
Hio simu kwani haiko connected? Na nzi za 1885 pia zinamzungukaRespect buda.
View attachment 34665
Mara ngapi utaambiwa hizo si 'inzi'?Hio simu kwani haiko connected? Na nzi za 1885 pia zinamzunguka
@Introvert saidiaMara ngapi utaambiwa hizo si 'inzi'?
Ni zako ama nizangu,?
Hizo ni TFD (Toilet Fly Drones).@Introvert saidia
Mara ngapi utaambiwa hizo si 'inzi'?
Inakaa deleva amesema kama yeye si the only customer hakuna kuuza hapa
Iko ya mercury ya redNatafuta stove iko na mercury.
Zilienda, niko na zingine nitapelekea makanika apige chrome tuuzeZile vijiko za silver bado Ziko?
hawa watu hawanipendi, Huyo Mzee @Abba alikuwa na dreams of owning a pick up na vile mnajua ako in his sunset years na he is a peasant, I went out of my way na nikamutafutia a good Peugeot pickup na bei angeweza ndio his dream ziwe true but he rebuffed me, know sweetie tell me how can we help these people,. @administrator Hakuna vile ningeuzia wewe pekee, other listers needs my service tooBae, aki you never cease to impress me.
Mongrel Holdings is truly on the up and up.
Let's keep dreaming.. Who knows..
Fortune 500 here we come
Don't mind the haters.
hawa watu hawanipendi, Huyo Mzee Abba alikuwa na dreams of owning a pick up na vile mnajua ako in his sunset years na he is a peasant, I went out of my way na nikamutafutia a good Peugeot pickup na bei angeweza ndio his dream ziwe true but he rebuffed me, know sweetie tell me how can we help these people,. @administrator Hakuna vile ningeuzia wewe pekee, other listers needs my service too
wivu itawaua bana, why can't you let me and my bae have peace?
Nilikataa kumuuzia, he wanted to hoard all the good deals ziwe zake pekee na kama a man of the people singekubaliNikama uliuzia yeye stolen goods