Add more

Stolen
LIST YA WATU WENYE HUJISKIA DUNIA NI YAO

1.SECRETARIES WA MAOFISI

2.CARE TAKERS WA PLOTI

3.WAJAMAA WA PASSWORD KWA SUPERMARKET

4. BROKER NA MSIMAMIZI WA MJENGO.

5.WAFUASI WA OWUOR

6.MKAMBA NA KIFUNGUO YA MAJI

7.WAKUPEANA TISSUE KWA CHOO ZA KANJO.

8.CAPTAIN WA DINING HALL

10. MECHANIC WA KUPELEKA GARI YA POLISI ROAD TEST

11.WATU WA SPECS..

12..BIBI YA CHIEF

13.MWEKA HAZINA KWA SHEREHE YA HARUSI

14. WENYE WANAPIMA TEMPERATURE KWA ROADBLOCK.

15. BANK TELLERS WA KCB

16. WAKUSIMAMIA MAJI YA CHUPA NA SODA KWA SHEREHE.

17. Wale huuza kwa chemist na pharmacy.. Wanakuuliza unaugua aje as if Hao ni Daktari

MWISHO👇👇👇👇

KIELEWEKE BLOGGERS
 
@Abba toka anunue hii kitu
101017317_341013586863684_7855144856786567168_n.jpg
 
Back
Top