With all the many tales, you'd think men will learn but saa ingine wengi ni vile huwa hawatumii akili wakati damu yote imeenda ka mjuolsHakuna vile mini nitawahi wekewa mchele, not this life. Venye nikona load of trust issues.
I don't even go clubbing nor drinking. Miss me on this.
Ureffi huwa ina interfere na standards budaKama utapewa mchele atealst let it be from a hot woman banae, kupewa Mchele na mama amebeat ni aibu
"Whichever bee you pick, you will be stung"Kama utapewa mchele atealst let it be from a hot woman banae, kupewa Mchele na mama amebeat ni aibu
Lions pick the weakest from the herd. Bora kumalisa njaaKama utapewa mchele atealst let it be from a hot woman banae, kupewa Mchele na mama amebeat ni aibu
So it is better for ego to be stung by the pretty and sweet one"Whichever bee you pick, you will be stung"
Manze his choice is wantingSo it is better for ego to be stung by the pretty and sweet one
Senators fungueni roho![]()
Hiyo hekaya ikuom kwa thread yake kivyakeWhen I get enough courage, I will narrate how niliwekewa mchele by a lady and her "brother". Lakini kwanza let me cry kiasi.
![]()
Hata maji chafu huzima moto mwambie.Lions pick the weakest from the herd. Bora kumalisa njaa
Hapa nikama Kuna mtu alipasuliwa mayaiWhen I get enough courage, I will narrate how niliwekewa mchele by a lady and her "brother". Lakini kwanza let me cry kiasi.
![]()
Tukiwa Kule kwingine they thought kamnjoro was you. I think he was even banned. His stories looked like fertile imagination, ka zako tuHapa nikama Kuna mtu alipasuliwa mayai