4 mirrions. On sale

Honda gani? Kumbuka kuna mashini kubwa kama CR-V ama unataka gari inaonyesha humility such as the Honda Fit? Kagari kafiti sana
View attachment 19243
Safi sana. Very simple

Gari sure bet ya Padre ni Suzuki Jimny. Hiyo itakufikisha
Asante. I will sample some in the showroom

ya huyu padre itabidi small angels on board
All angels are mine :LOL:
Honda gani mkubwa

Kama hiyo @mzeiya ametaja hapo juu. Leta ushauri mdau. Just a simple machine, but a nice one, with low recurent expenditure
 
Last edited:
Usiangalie maneno ya resale value
Vile watu wa Toyota wanakuangalia
1596292760596.png
 
Back
Top