3 Buses Belonging to same bus company hijacked last night

Umesema aje??

Therefore????
Wasapere wa kiambu wanapenda wizi. Na ni fact.
Kitambo watu wa taxi hawangekubali kuenda gachie, banana, Muchatha, etc. usiku. Nowadays sijui,
Hizo baze kama uko na whole set of dental formula unakuwa considered a foreigner! Kwanza kuna sehem flani around Kikuyu kwenye ule MCA wa TNA aliuliwa you cant even attempt to fix puncture there juu utaibwa na uchinjwe.
 
Hizi gari have made a habit of having the passengers alight and urinate at the site, seems the locals wamekataa mkojo ya abiria.
 
Back
Top