Yes. They have rightsYaani pia radio huwa na broadcasting rights? I remember the good old days of Peter Gathuki Mondo. Unasikia "Go-go-go-go-go-go-go-go-go goaaaaaaaaaa...." na kabla amalize sentence na wewe usha ruka ruka juu, anamalizia na "gooooo...anapoteza bao wazi!" Unasikia ni kama utaenda kumseti vibare.
Yes. They have rights
Kumbuka Ali Salim Manga
Kumbuka the late Muhamed Juma Njuguna [alikuwa mcheshi sana akitangaza mpira]