Kujua kenye kwamba Mbitika ni baradhuli mtu mwenye tabia ya burukenge kabisa. Inadhihilisha kwamba yeye ni mtapeli nambari mosi anayewahadaa wengi vile yeye ni mwanabiashara shupavu ilihali sura yake ni mbovu zaidi. Hili ni jambo la kutatanisha sababu sura yake dhaifu yaonyesha yeye ni mtu wa...