Sad.
Ati huwezi kuza chakula juu majambazi wanajificha huko.
I saw That story on 9 O'clock news, and I will wait on another piece about several mirrions to bring in more MAIZE
Hiyo kitu sio mchezo.... Last week I had a small job hapo Kiambu road... Waliitisha ID via whatsapp 2 weeks before.... But I was confident....
I was declared 'clean' na wakatuma barua.
Unaskia wewe @Mongrel wherever you may be.
Hehe matatu za single line services.... Kuna time kanjo walikua wana zitumia kuokota watu wenye hawajalipa licence CBD.....
Lakini hizo gari zinakaa Jela.
Chuma mpaka kwa dirisha. Lakini hiyo contract iliisha.... Naona siku hizi zinabeba mpaka cabanas