@Meria nimeona oposhunity ya kunukisha kitungu na Mbenz ya Muhindi, nipe route ya Mbenz pia mimi ninukishe kitungu hapo kwako.
What's the value of that pipe?
Masaa ya Curfew bado ni ile ile. "PRESIDENT Uhuru Kenyatta extends nationwide curfew ahead of school reopening, Interior CS Fred Matiang'i announces".( Source MMN). Tukubali Mkoloni bado yuko nasi
Haya ambia IEBC pia mtu akue anavote from any place. Si mtu inafaa apige kura mahali alikuwa registered as a voter? Job transfers ni tofauti na ii yahawa majamaa. Sasa Kabogo atafanya nini Nairobi yenye hakaufanya Kiambu? And its not about Tribalism, mtu asimame mahali anapigia Kura just asa...
Ka hakusimama election in another County then ako na clean bill to run in any County, lakini ka ulishasimama kwingine ukue restricted to that County. Ii ndio inafanya watu wanaona politics ka career
Sasa Kabogo asha kuwa Gavana Kiambu ako na biashara gani kukuja kusimama Nairobi. Ka ya Kiambu imemshinda apambane na hali yake hapo Kiambu ka raia ya kawaida
Inafaa kipengele kiekwe kwenye Katiba ya kutoruhusu mtu kusimama kutoka Kaunti nyingine. Kabogo angoje asimame Kiambu si kujump ship to Nairobi na asha simama Kiambu