Kuria anasema vitu gani, saa ii ndio anajifanya amegutuka. Mafuta ikipandishwa jana manugu zimenyamaza ndi, Conman ndio amejifanya anatetea Mwananchi na ii PR yake ya shilingi mbili. Man from Sugoi akipiga lapa anaenjoy watu na maneno ya Hustler, sai pia yeye ako mitini, hatetei Mahustler wake...
The prices of Super Petrol, Diesel and Kerosene increased by Sh 7.63, Sh 5.75 and Sh 5.41 per litre to cost Kshs.122.81, Kshs.107.66 and Kshs.97.85 per litre respectively in Nairobi starting midnight.
Kabla ii Serikal ya Konyagi imalizane na sisi
Hic...hic...Err Guka @Field Marshal ame delegate kasi ya kuokota mbesha ya Paybill kwangu, sai tuko juu ya ma whitecaps rakini kuripa mbil inawesa leta shida.
All contributions will be directed towards imbibing whitecaps, sai tuko round ya err(nimesahau) Hic...Sande sana...Hic.
Wacha turudi...
Content creators pale Youtube muandae lube, Uncle Sam anakujia mali yake more shafting is coming your way. KRA upande iyo ingine wanangoja share yao pia
UN pay for KDF falls Sh8bn as audit reveals ghost soldiers
WEDNESDAY MARCH 10 2021
Cash reimbursed to Kenya for its troops fighting Al-Shabaab militia in Somalia for the half-year period through December 2020 fell Sh8 billion short of Treasury’s target at a time an audit queried payment to...