Search results

  1. Jug

    Shock Absorber

    After much deliberation jamaa ameamua kubadilisha izo shocks as stated in the earlier thread (https://kenyanlist.net/index.php?threads/shock-absorber-kumwaga.16262/). Sasa anadai kubadilisha 'pedi'. Recommend genuine shops and if possible quote the price. Nisha mchapia apitie hapo Shamas na...
  2. Jug

    This is Guka - I Am Starting to Think Uhuru Muigai Kenyatta is Being Demonised for Being a Gikuyu 'Prince'................

    The guy is a failure period. Nyinyi ndio mnaenjoyi ii jamaa vitu ziko sawa lakini mnajua vitu hapana sawa.
  3. Jug

    Noah Madness

    Hizi Noah huwa nimeziogopa, wacha ningoje Hiace ijae tuanze safari. Kwanza iyo stretch ya Naivasha-Gilgil ii watu na kata funua wanaeza kurusha pambaya.
  4. Jug

    FREE MONEY

    Kuna mtu anatafuta Fridge ya Samsung 2nd hand, iko kwa stock hpo kwako?
  5. Jug

    Kiburi FC

    Hehe ii watu ni bure. @Denis Young hapa unajitetea ukiwa pande gani? Game ni 3-1
  6. Jug

    Ngombe za Arteta zinamaliswo..

    😂 😂 Be nice bana. @Pamba 1, @mzeiya kitumbwa kimeingia mushanga. Lingardinho anafanya maneno
  7. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Update: Leo tumepitia kwa @Makonika shock imepelekwa kwa dealer, seems the shock had a defect. Shock zote zimetolewa wamechunguza kila kitu hadi springs na mountings, izo ziko sawa. Shukran kwa mawaidha
  8. Jug

    Chapter ? Of our konistitution

    😂😂😂 @It's Me Scumbag "Pass the Dutchie" pon the left hand side
  9. Jug

    UEFA DRAW England wana bebwa

    Watu ya Thursday Night Football Draw ndio ii
  10. Jug

    Toyota Sienta

    Kajiado pia ziko waks mbaya...ii newshape itabaki kwa mabazaars
  11. Jug

    Champions League Draw

    Chelsea vs Porto Mancity Vs BVB Bayern vs Psg Madrid vs Liverpool
  12. Jug

    This is Guka - I Don't Get It.........Niweke?

    Hehe nyinyi mnaenda kwa vita mnapigwa, alafu mkishidwa mnasema hata hatujapigwa sana. Wacha ntachagua nyani itanirepresent wakati ukifika, sai bado mimi ni fence sitter
  13. Jug

    ♻️Looking to earn some extra cash ♻️

    Akanyal...
  14. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Wacha niambie yeye angalie Tension ya Spring
  15. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Bei shock amekata kusema, mimi nikitoa est. 7-8k(kanairo hakuna mtu hukupa exact figure). Road condition - Murram. Igo masawali zingine?
  16. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Ii yenye imemwaga sai alibadilishiwa mahali alinunua, swali yenye tunajiuliza niaje mguu moja ndio inakuwa affected
  17. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Jamaa anasema yeye hutumia Monroe, condition of the road constant since zenye alitoa zilikuwa zimeserve yeye 2+ years. Hapa mimi nasuku quality ya izo shock
  18. Jug

    Shock Absorber "Kumwaga"

    Wadau iko jalopy inapatia mtu stress. Major service ilifanyiwa ii Jan Shocks za mbele aka badilisha since zilikuwa zimechapa. Badaa ya wiki kadhaa Shock ya Left ya mbele "ikamwaga" akaibadilisha. Wiki ka mbili ama tatu zimepita gari imekuwa tu sawa. Lakini jana iyo Shock ya Left "imemwaga"...
  19. Jug

    in the headlines: KPLC in ICU

    Kengen ndio ilitumiwa kuangamiza ii Kampuni, KPLC ni Network wako nayo ya kusambaza stima. Pesa yote iko Kengen since kuna nugu iliona wanyanganye KPLC rights za kuproduce stima. Sai wananunua stima kutoka kwa Kengen. Mzee inafaa alinde boma otherwise ii vijana watageuza Serikal wakuache ukiteseka.
  20. Jug

    More Pain at the Pump

    Lakini Guka si deni ni deni, ikue Commercial, ikue ii ingine si bado ni ndeni
Back
Top