Na mtu anaenda Mombasa kutoka Western itakuwa aje, @Clemens ndio ametoa a good option. Wafungue for a limited time watoi wafike home alafu warudishe ii curfew
Wadau kumbe it wasn't a drill, various traffic groups members wanasema roadblocks zisha anza kuwa placed along the major roads kwa ivyo mujipange mko na 42 min mkuwe kwa nyumba. Ni iyo kwa sasa back to you in studio @Meria
Mimi kama mkulima mdogo nafikiria kuzama kwa ii maneno ya Crypto, am currently following Dogecoin with the intention of starting small small kurusha 1000 kwanza alfu tuendele.
To the gurus what's your advice to a novice like me on how to go about purchasing crypto coins. Pia ukiweza sema coins...
https://t.co/DkW8ewTZhI
Gatheca anatuma errand boys wakujie mali. II deni mtalipa na si tafathali. NEMA wanafanya nini kwa list ya bodies you should comply with? Si hawa ni watu wa mazingira, looting avenues lasma zitengenezwe