Ndio mko na mauchungu na suppliers akitumwa na princi mkague bidhaa zake mnamshow haziko poa. Kila monde amekuwa fisi eti nirushie za macho na amekulenga huko ndani. Halafu anakushow ati jua kali ni kupona atakijoin akimaliza kaloan. Anyways si ni life